- 129,896 viewsDuration: 1:28Lilizinduliwa na Rais Nayib Bukele Januari 2023, likiwa na uwezo wa kuhifadhi wafungwa 40,000 wengi wao wakiwa wanachama wa magenge hatari kama MS-13 na Barrio 18. Je unataka kufahamu kwanini linatajwa kama gereza la kutisha? Kutazama makala hii kwa urefu tafuta CECOT hapa hapa YouTube: BBCNewsSwahili #bbcswahili #elsalvador #magenge Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw