Skip to main content
Skip to main content

Je, mkutano kati ya Trump na Putin utamaliza vita Ukraine? Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    16,704 views
    Duration: 28:10
    Rais wa Marekani Donald Trump amependekeza kuwa nchi zote mbili, Urusi na Ukraine, zinaweza kulazimika 'kubadilishana ardhi' ikiwa wanataka kumaliza vita. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw