Skip to main content
Skip to main content

'Sina imani na tume ya uchaguzi Zanzibar'-Othman Masoud

  • | BBC Swahili
    12,810 views
    Duration: 1:36
    Wakati mbio za kuelekea uchaguzi wa Oktoba nchini Tanzania zinavyozidi kupamba moto, vyama vya upinzani vinaongeza juhudi kwa matumaini ya kuiondoa serikali iliyopo madarakani. Roncliffe Odit amezungumza na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, ambaye pia ni mgombea urais wa ACT-Wazalendo visiwani Zanzibar, kuhusu wasiwasi wake juu ya iwapo uchaguzi wa mwaka huu utakuwa huru na wa haki, hasa wakati Zanzibar nayo ikijiandaa kwa uchaguzi wa kitaifa. Mtangazaji wa BBC @roncliffeodit ameanza kwa kumuuliza je ana imani na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar? 🎥: @frankmavura - - #bbcswahili #siasa #zanzibar #tumehuru #uchaguzitanzania2025 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw