6 Jan 2026 8:28 pm | Citizen TV 249 views Duration: 1:22 Gor Mahia imepanda kileleni mwa ligi kuu nchini baada ya kuilaza Kariobangi Sharks bao nne kwa moja uwanjani Kasarani