7 Jan 2026 1:05 pm | Citizen TV 550 views Duration: 2:13 Hali ya huzuni imetanda katika kijiji cha Kaliet wadi ya Sagamian eneo bunge la Narok Kusini baada watu watatu kuaga dunia kwenye makabiliano ya mzozo wa kugawana ardhi ya familia.