Skip to main content
Skip to main content

Polisi wachunguza mauaji ya mlinzi Mumbuni Machakos

  • | Citizen TV
    1,099 views
    Duration: 2:04
    Polisi mjini Machakos wanachunguza mauaji ya mlinzi wa usiku katika duka moja eneo la Mumbuni aliyeuawa usiku wa kuamkia leo.