7 Jan 2026 1:14 pm | Citizen TV 341 views Duration: 1:41 Wakazi zaidi laki tatu katika kaunti ya Mandera wanahitaji msaada wa chakula kufuatia hali ya ukame unaendelea kushuhudiwa eneo hilo.