7 Jan 2026 1:14 pm | Citizen TV 1,596 views Duration: 3:52 Hali ya taharuki imetanda katika Kijiji cha Lopiii Turkana mashariki, baada ya wezi wa mifugo kumuua mtu mmoja kwa kumpiga risasi na kuiba mifugo wapatao 400.