7 Jan 2026 1:27 pm | Citizen TV 1,878 views Duration: 48s Mshukiwa Mohamed Osman Abdille na kampuni ya Fatzam Enterprises Limited wamefikishwa mbele ya Hakimu Mkuu Kennedy Bidali katika Mahakama ya Makadara kwa siku ya kwanza ya kusikilizwa kwa kesi inayowakabili.