Skip to main content
Skip to main content

Mradi wa NYOTA: Rais Ruto aongoza mpango wa kutoa fedha Eldoret

  • | Citizen TV
    541 views
    Duration: 40s
    Rais William Ruto ameongoza mpango wa kutoa pesa za mtaji wa biashara kwa vijana katika mradi wa NYOTA jijini Eldoret kaunti ya Uasin Gishu. Mpango huu unalenga kuwapa vijana shilingi elfu 50 za kuanzisha biashara ndogondogo ili kuwawezesha kiuchumi.