- 329 viewsDuration: 1:46Chama cha Madaktari, Wafamasia na Madaktari wa Meno Kenya (KMPDU) kimeunga mkono agizo la Waziri wa Afya Aden Duale kuhusu madaktari wa kigeni, kikishutumu hospitali za kibinafsi na za misheni kwa kuwanyanyasa madaktari wa ndani na wa kigeni kupitia uajiri haramu na mishahara duni.