Skip to main content
Skip to main content

Ufadhili wa elimu Kilifi

  • | Citizen TV
    404 views
    Duration: 1:35
    Huku shule zikiwa zimefunguliwa kwa muhula wa kwanza kote Nchini, serikali ya kaunti ya Kilifi imewataka wazazi wa kaunti hiyo kuwasilisha stakabadhi za wanafunzi wanaojiunga na gredi ya 10 ili wapewe ufadhili wa masomo. Wanafunzi zaidi ya 2, 000 wamenufaika na mpango huo tangu uanzishwe na gavana wa kaunti ya Kilifi Gideon Mung’aro miaka mitatu iliyopita.