- 1,216 viewsDuration: 3:24Shule za sekondari ya juu nchini zimeendelea na matayarisho kabla ya kuwapokea wanafunzi wanaojiunga na gredi ya 10 ya mtaala wa cbe kuanzia jumatatu. Baadhi ya shule zimekuwa kwenye matayarisho ya dakika za mwisho kukamilisha ujenzi wa madarasa. Hata hivyo, licha ya mkanganyiko wa nafasi za baadhi ya wanafunzi, walimu wana matumaini kuwa kila kitu kitakuwa tayari kwa wanafunzi