Skip to main content
Skip to main content

Serikali yatakiwa kuchunguza na kuwawajibisha waliohusika na kuanguka kwa jumba la South C

  • | Citizen TV
    1,591 views
    Duration: 1:38
    Serikali sasa inatakiwa kufanya hima kuchunguza na kuwachukulia hatua waliohusika na utepetevu uliosababisha kuanguka kwa jumba la ghorofa 16 lililowaua watu wawili katika eneo la South C, Nairobi