- 396 viewsDuration: 2:53Muungano wa Madaktari nchini KMPDU umeunga mkono agizo la Waziri wa Afya Aden Duale kupiga marufuku leseni za madaktari wa kigeni humu nchini. KMPDU ikisema kuwa madaktari wengi wa kigeni wanaohudumu humu nchini wanadhulumiwa kwa mishahara ya chini na kutumika vibaya