Skip to main content
Skip to main content

Bandari FC tayari kupigania ushindi wa kwanza wa mwaka dhidi ya Kakamega Homeboyz

  • | Citizen TV
    247 views
    Duration: 1:08
    Kaimu kocha mkuu wa Bandari Fc, Razak Siwa, amesema kikosi chake kiko tayari kupigania ushindi wao wa kwanza wa mwaka huu watakapowakaribisha Kakamega Homeboyz siku ya jumamosi katika mchuano wa ligi kuu ya Kenya