Usajili wa gredi ya 10 umeanza katika shule mbalimbali kote nchini. Hili ni darasa la kwanza katika mfumo mpya wa elimu wa CBE. Katika shule ya upili ya Moi kabartonjo huko Baringo kaskazini, wazazi na wanafunzi waliripoti mapema na mchakato wa usajili ukaanza mapema saa 1 asubuhi.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya