- 232 viewsDuration: 1:42Shughuli za uchimbaji dhahabu katika kaunti ya Pokot Magharibi zinaendelea kuzua hisia mseto huku baadhi ya wakazi wakilalamika kuhusu madalali ambao wanafanya kazi hiyo bila kuhusisha washikadau wote na kukosa kuhamasisha wakazi wote kwenye mchakato huo. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya