Skip to main content
Skip to main content

Zaidi ya familia 400 zisizojiweza zapokea mazao ya shambani ya ghrama ya shilingi 50,000

  • | NTV Video
    232 views
    Duration: 2:10
    Zaidi ya familia 400 zisizojiweza zina nafasi ya kutabasamu siku za usoni kutokana na mpango wa kuziwezesha kiuchumi. Familia hizi zinapokea mazao ya shambani ya ghrama ya shilingi elfu hamsini kuuza kisha kuweka asilimia 40 mfukoni kujiendeleza. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya