Namusasi FC ndio mabingwa wa makala ya 9 ya kombe la Hezekiah Otsiula, baada ya kuwazaba Khasoko FC bao 1 kwa 0 kwenye fainali iliyochezewa katika uwanja wa shule ya msingi ya mungore eneobunge la bumula kaunti ya Bungoma.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya