- 343 viewsDuration: 3:09Siku chache baada ya kutangazwa rasmi kwa matokeo ya mtihani wa kitaifa wa KCSE ya mwaka jana, mwanafunzi Gladys Lengarbatei aliyepata alama ya ya A- amesimulia changamoto alizopitia kama msichana katika jamii ya Samburu. Gladys akielezea pandashuka ya elimu, na safari yake ya kumwezesha kuwa miongoni mwa wanafunzi bora wa KCSE.