- 890 viewsDuration: 3:01Huku wanafunzi wa Gredi ya kumi wakianza kuripoti shule kuanzia leo, mfumo wa elimu wa utoaji nafasi kwa wanafunzi umeendelea kukosolewa. Kwenye ibada maalum kwa wanafunzi wanaojiunga na sekondari ya juu, serikali imetakiwa kuendelea kulainisha mfumo huu ili kupunguza changamoto zilizoshuhudiwa.