- 396 viewsDuration: 1:15Maafisa wa Mamlaka ya kupambana na mihadarati na dawa za kulevya nchini NACADA wamenasa pombe haramu yenye thamani ya shilingi milioni 13 katika soko la Kabaa kaunti ya Machakos . Mamlaka hiyo kwa ushirikiano na vitengo mbalimbali vya serikali wakiwemo polisi na KRA ilifanya msako wa kushtukiza katika soko la Kabaa ambapo iliwanasa wafanyabiashara wawili wanaodaiwa kuuza pombe haramu,.