Skip to main content
Skip to main content

Wanasaikolojia wazindua kampeni dhidi yad awa za kulevya Trans Nzoia

  • | Citizen TV
    320 views
    Duration: 1:57
    Huku viongozi wa taifa la Kenya na ulimwengu kwa jumla wakiendelea kuimarisha jitihada za kukabiliana na dawa za kulevya, wanasaikolojia kwa ushirikiano na Serikali ya Kaunti ya Trans Nzoia wamezindua kampeni katika kaunti hiyo Wakizungumza wakati wa ufunguzi wa kituo cha By Your Side Recovery Center, viongozi wa Serikali ya Kaunti hiyo ya Trans Nzoia wamesisitiza kuwa wataendelea kuimarisha kampeni za uhamasisho miongoni mwa wakazi wa kaunti hiyo,. Aidha, wameahidi kuweka mikakati ya kudhibiti matumizi ya dawa za kulevya