13 Jan 2026 11:41 am | Citizen TV 233 views Duration: 12:48 Mwelekeo wa uchumi wa taifa kupitia utendaji wa kaunti kwa nini mwananchi haoni mabadiliko kwenye mfuko wake? Mara kwa mara uchumi unasemekana kwamba unakua sera na bajeti zinavyoweza kuleta manufaa kwa wakenya