13 Jan 2026 1:09 pm | Citizen TV 235 views Duration: 1:59 Vijana zaidi ya mia moja kutoka kaunti ya Turkana waliokuwa wamesajiliwa katika mradi wa NYOTA uliyozinduliwa mjini Eldoret na rais William Ruto, wanasema hawajapokea pesa hizo kama walivyoahidiwa.