Skip to main content
Skip to main content

LSK wapinga uamuzi wa kuzuia huduma za mawakili wa kibinafsi korti

  • | Citizen TV
    370 views
    Duration: 1:35
    Chama cha mawakili nchini kimekashifu uamuzi wa mahakama kuu ya nakuru kuzuia mawakili wa kibinfasi kushughulikia kesi za serikali wakisema hii ni njama ya kukandamiza kazi zao. Rais wa lsk faith odhiambo amedai hii ni njama fiche ambayo imekuwa kwa muda sasa na inapaswa kushtumiwa vikali. Faith ameongeza kuwa wameelekea mahakamani kupinga uamuzi huo na kusema wako tayari kupendekeza mabadiliko katika idara ya mahakama ambayo hivi punde imekuwa ikitoa maamuzi ambayo yanaashiria utumizi mbaya wa mamlaka .