- 612 viewsDuration: 1:21Kamati ya Bunge la Taifa ya Fedha na Mipango ya Taifa na Kamati ya Uteuzi kuhusu deni la taifa zimeanza kusikiliza masuala ya wadau kuhusu kuzingatia kuuza kwa asilimia 15 ya hisa za serikali katika kampuni ya Safaricom. Miongoni mwa wale waliofika mbele ya kamati leo ni waziri wa hazina ta kitaifa John Mbadi , wawakilishi wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji miongoni mwa wengine.