13 Jan 2026 1:24 pm | Citizen TV 144 views Duration: 2:32 Kiangazi kinachoendelea kushuhudiwa kaunti ya Makueni na kukausha mimea mashambani kimeanza kuathiri elimu ya wanafunzi wa shule za chekechea. Serikalli ya kaunti imeanza kuwapa watoto hao uji ili waweze kuendelea na masomo