13 Jan 2026 1:26 pm | Citizen TV 641 views Duration: 1:32 Wakati shughuli ya usajili wa wanafunzi wa gredi ya 10 ukiendelea kote nchini, hali sintofahamu imetanda katika Shule ya Upili ya Wavulana ya Aldai, kaunti ya Nandi.