Skip to main content
Skip to main content

Wanasaikolojia wazindua kampeni dhidi ya vita ya dawa za kulevya Trans Nzoia

  • | Citizen TV
    187 views
    Duration: 2:01
    Huku viongozi wa taifa la Kenya na ulimwengu kwa jumla wakiendelea kuimarisha jitihada za kukabiliana na dawa za kulevya, wanasaikolojia kwa ushirikiano na Serikali ya Kaunti ya Trans Nzoia wamezindua kampeni katika kaunti hiyo