- 137 viewsDuration: 1:41Huku uchaguzi wa viongozi wa muungano wa walimu KUPPET ukiendelea katika maeneo mbali mbali humu nchini, viongozi wa muungano huo tawi la Kilifi sasa wanawarai walimu kudumisha amani wakati wa kampeni huku wakiwahakikishia uchaguzi huo utakaofanyika Februari 14 utakuwa wa huru na haki.