Skip to main content
Skip to main content

Matokeo ya KCSE 2025 ya Lodwar High hayaridhisha

  • | Citizen TV
    500 views
    Duration: 1:51
    Wanafunzi wa Zamani wa shule ya kitaifa ya wavulana ya Lodwar High wameitaka Wizara ya Elimu kumwondoa mara moja mwalimu mkuu na bodi ya usimamizi ya shule hiyo, wakisema wamechangia matokeo duni ya KCSE yaliyotangazwa majuzi