13 Jan 2026 1:51 pm | Citizen TV 188 views Duration: 1:25 Waziri wa maji na unyunyiziaji mashamba Eric Mugaa amemwachisha kazi mwanakandarasi aliyekuwa akijenga Mtambo wa majitaka wa mji wa Meru eneo la Rwanyange kwa sababu ya utepetevu.