Skip to main content
Skip to main content

Mchakato wa mpito wa gredi ya 10 kwa wanafunzi Makueni waanza kwa mwendo wa kobe

  • | NTV Video
    95 views
    Duration: 1:11
    Mchakato wa mpito wa gredi ya 10 kwa wanafunzi wanaotarajiwa kujiunga na shule za upili Makueni ulianza kwa mwendo wa kobe, huku idadi ndogo ya wanafunzi na wazazi wakijitokeza katika siku ya kwanza. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya