- 30,088 viewsDuration: 28:11Takriban Watu 7 wameuawa katika makabiliano kati ya maafisa wa usalama na wafuasi wa upinzani nchini Uganda, kwa mujibu wa vyombo vya habari nchini humo. Ghasia hizo zimeripotiwa kutokea katika eneo la Butambala. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw