Skip to main content
Skip to main content

Mahakama kuu yaskiza Kesi inayopinga uhalali wa Bima ya Afya ya Jamii

  • | KBC Video
    115 views
    Duration: 1:49
    MAGEUZI SEKTA YA AFYA Mahakama Kuu imesikiliza mawasilisho ya mwisho katika kikao cha mtandaoni cha kesi inayopinga uhalali wa Bima ya Afya ya Jamii na Mamlaka ya Afya ya Jamii, huku Seneta Okiya Omtatah na walalamishi wengine wakisema kwamba mfumo huo mpya wa ufadhili wa afya ni kinyume cha katiba.Hata hivyo, serikali imetetea marekebisho hayo, ikisema yalipitishwa kisheria na yanalenga kuimarisha huduma za afya kwa wote.Mwandishi wetu wa Mahakama Letuaa Debra ana maelezo zaidi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive