Kiongozi wa chama cha ODM Oburu Oginga amewataka baadhi ya viongozi wa chama hicho ,kukomesha malumbano, akisema yanatia doa sifa ya chama.Akiwahutubia wabunge wa chama cha ODM huko Malaba,kaunti ya Busia aliambia pande zinazovutana katika chama hicho kwamba hazitaruhusiwa kuhujumu juhudi za kukiimarisha chama hicho kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2027.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive