Huku maelfu ya wanafunzi wa Gredi ya Kumi kote nchini wakiripoti katika shule za sekondari ya juu, wanafunzi wengi werevu wanaotoka katika familia maskini wanakabiliwa na hali ya suitafahamu baada ya kushindwa kujiunga na shule kutokana na ukosefu wa karo na mahitaji ya msingi ya shule, hali ambayo imesababisha wito mpya kutolewa kwa wahisani na wadau wa elimu kuwasaidia wanafunzi hao.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive