- 144 viewsDuration: 3:32Chama cha kitaifa cha wauguzi na wakunga nchini kimeelezea kutoridhika kwake kuhusiana na kukosa kwa waajiri na wadau mbalimbali wa serikali kutimiza majukumu yao licha ya mashauriano ya mara kwa mara. Chama hicho sasa kinasema kuwa wanachama wake wanabaguliwa, mikataba yao kupuuzwa kutoshughulikiwa kwa usawa. Walisema watashauriana na wanachama wao kupanga mgomo kote nchini iwapo malalamishi yao hayatashughulikiwa katika muda wa siku saba zijazo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive