- 27,150 viewsDuration: 2:56Kinara wa DCP Rigathi Gachagua amewapuuzilia mbali viongozi wanaoendelea kujitenga naye, akisema wanaoondoka walikuwa majasusi wa rais William Ruto chamani mwake. Takriban wabunge 10 kutoka mlima kenya wamemtema Gachagua wakidai kuchezewa shere katika jitihada zao za kupata tikiti ya kugombea mwaka ujao.