Skip to main content
Skip to main content

Ilikuwa lazima upige 'ishara ya msalaba' ukienda vitani

  • | BBC Swahili
    6,104 views
    Duration: 6:49
    Aliwahi kutajwa kama gaidi, nabii na muuaji katili; Joseph Kony wa Uganda, anasakwa kwa uhalifu wa kivita na hajakamatwa hadi sasa kwa zaidi ya miongo miwili. Aliwateka watoto na kuwageuza kuwa wanajeshi… Vijiji vilichomwa moto, raia walikatwa viungo - mikono, midomo, na masikio yote hiyo ilikuwa ni kueneza hofu. Je yote haya yalianzaje? @Sammy anasimulia #bbcswahili #tanzaniatiktok #kenyatiktok #ugandatiktok #foryou Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw