18 Aug 2025 9:40 pm | BBC Swahili 10,729 views Duration: 1:29 Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu imezuia matangazo ya moja kwa moja na uchapishaji wa taarifa za mashahidi katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu.