- 19,375 viewsDuration: 1:07Tazama mnyama huyu aina ya kulungu alivyoingia kwa bahati mbaya ndani ya benki huko New York baada ya kuvunja dirisha na kuwafanya polisi kufika na kumfukuza kabla ya kumkamatw na kumsaidia kutoka salama. #bbcswahili #wanyama #kulungu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw