- 18,651 viewsDuration: 28:11Uchunguzi cha kitengo cha BBC Africa Eye ulioangazia madai ya utekaji nyara na watu kuteswa nchini Tanzania umetambua jina la afisa mmoja wa kiwango cha juu katika jeshi la polisi ambaye anadaiwa kuhusika na mashabulizi hayo. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw