Skip to main content
Skip to main content

Nyama Nyekundu na za kusindika sababu ya saratani ya utumbo

  • | BBC Swahili
    14,140 views
    Duration: 2:20
    Mamlaka za afya zinahusisha nyama nyekundu na nyingine zilizosindikwa na saratani, zikimaanisha kuna ushahidi thabiti kwamba zinaweza kusababisha saratani kwa binadamu, hasa saratani ya utumbo mpana. Je zinahusiana vipi? @elizabethkazibure anaelezea 🎥: @eagansalla_gifted_sounds #bbcswahili #afya #saratani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw