- 320 viewsDuration: 4:59Wanawake walioathirika na ukatili wa ukeketaji kaunti ya Narok wameungana ili kupambana na jinamizi hilo. Wanawake hao wameunda kikundi kinachowapa ushauri nasaha na mafunzo ya kujiendeleza kichumi ili kuwawezesha kujiinua na kuwaokoa wasichana walioko kwenye hatari ya ukeketaji katika maeneo yao.