Skip to main content
Skip to main content

Kwanini bendera ya Tanzania ilitumika na meli kusafirisha biashara haramu?

  • | BBC Swahili
    67,602 views
    Duration: 2:59
    Ni kwa vipi bendera ya nchi kama Tanzania, inaweza kutumika na meli kusafirisha tani ya mzigo wa biashara haramu? Hivi karibuni, meli iliyobeba shehena ya dawa za kulevya huku ikipeperusha bendera ya Tanzania ilikamatwa nchini El Salvador. Msemaji wa Serikali ya Tanzania, Gerson Msigwa, alieleza kuwa meli hiyo ilisajiliwa visiwani Zanzibar. Je ni kwanini meli hii ilisajiliwa Zanzibar? @sammyawami anaelezea kwa kina 🎥: @frankmavura #bbcswahili #tanzania #zanzibar Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw