- 280 viewsDuration: 1:13Baadhi ya wagonjwa waliotembelea hospitali mbali mbali za umma kupata matibabu kaunti ya Kericho wameitaka serikali kuhakikisha mfumo wa bima wa SHA unafanya kazi wakisema kuwa wametakiwa kutumia hela zao kupata matibabu. Judith Bii ambaye alikua ameendea matibabu katika hospitali kuu ya rufaaa ya kericho asema amekuwa kwenye foleni kwa muda mwingi kulingana na kuwa mfumo wa bima wa afya SHA haufanyi kazi.