Skip to main content
Skip to main content

Maafisa wa serikali, waajiri, na wadau wakusanyika kwa kongamano la kuwapa vijana ajira

  • | NTV Video
    116 views
    Duration: 1:31
    Maafisa wa serikali, waajiri, na wadau wa maendeleo wamekusanyika jijini Nairobi katika kongamano la waajiri lililoandaliwa wizara ya vijana na uchumi wa ubunifu kwa ushirikiano na na shirika la Shining Hope for Communities. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya